*°·.¸¸.° ♥
°·.¸¸.°*
“Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ?
Ni wale rafiki
zako
wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zako
wanaotugombanisha
na wachawi wanotuotea mabaya,
tujihadhari
tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima”
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
*°·.¸¸.° ♥
°·.¸¸.°*
“Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu
nitakayoyapata
ukiniachana,
mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha”
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
*°·.¸¸.°
♥ °·.¸¸.°*
“Watu wanao pendana daima hukumbukana!!! Na
salamu
kusalimiana!!!
Afya njema kutakiana!!! Huruma
huoneana!!!
Kwenye shida husaidiana!!! Makosa
husameheana!!!
Katika dhiki huvumiliana!!! Kila
jambo
zur hupeana!!! Maneno mazur yaliyo jaa upendo
huambiana!!!
Ushaur mwema hushauriana na njia
za
mafanikio huonyeshana!!! Mbele ya madui hulindana!!!nai
ni
mmoja katia ya wakupendao,hakika ni
mm
wa kwanza kwanza wengine wanafata”
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
*°·.¸¸.°
♥ °·.¸¸.°*
“USikimbie
nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na
wali,
usizidishe
siki akawa mkali.
Ni
mimi
niliye na dhiki nakujulia tu hali.”
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
*°·.¸¸.° ♥
°·.¸¸.°*
“Kama
upendo ni tone la mvua nakutumia
!!!!!
!!!!!
!!!!!
Kama
furaha ni ua nakutumia maua
*%*%*
)!(
(
)
kama
tabasamu ni sekunde nakutumia masaa
. '12' .
9 _/ 3
'
.6.
'
kama
maombi ni maji nakutumia bahari
-_-_-_-_-_-
-_-_-_-_-_-
-_-_-_-_-_-
kama
mafanikio ni majani
nakutumia
miti
,:*"*;,
,:*"*;,
*;%
,,* *; %,,*
__)(__ __)(__
kwasababu
nataka uwe na furaha
cku
zote"
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
*°·.¸¸.° ♥
°·.¸¸.°*
.:""""\_____.-.-._
(
0 .-----------'
'---'
Tunza
ufunguo huu,utautumia kufunga mwaka 2011 &
kufungulia
2012. Mungu alizigawa nikakuchukulia na wewe”
..............................
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
*°·.¸¸.° ♥
°·.¸¸.°*
“Mapenzi
ni magumu na yatabaki kuwa hivyo, lakini kumbuka
kuna
akupendaye naye ni MIMI!.”
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
*°·.¸¸.°
♥ °·.¸¸.°*
“Furaha
ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi
nawewe
vizuri ni sehemu ya Maisha yangu,
kukusalimia
ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi”
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
*°·.¸¸.°
♥ °·.¸¸.°*
“Fungua
macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,
fungua
mikono yako na upokee mapenzi yangu,
fungua
simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo
kwa
kukutumia sms mpenzi wangu,
Nakutakia
usiku mwema”
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
*°·.¸¸.° ♥
°·.¸¸.°*
“Utamu
wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji
kuongezewa
ladha ya sukari, nitaumiss endapo
kama
ukiwa mbali "NIACHE NIKUPENDE SWEET"
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
*°·.¸¸.° ♥
°·.¸¸.°*
“Moyo
wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe
sintopunguza
upendo kwako, tunza sms hii ya
ahadi
kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo!
"NAKUPENDA
MALAIKA WANGU"
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
*°·.¸¸.° ♥
°·.¸¸.°*
“Si
vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi
umejaaliwa,
vinavyouvutia moyo wangu, ama
hakika
uzuri wako umedhibiti matamanio yangu "SINTOMPENDA
MWINGINE
ZAIDI YAKO"
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
"Thamani
ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani
nachochote
kwenye huu ulimwengu, sina budi
kumshukuru
mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali
hisia
zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI"
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
*°·.¸¸.° ♥
°·.¸¸.°*
Mpenzi
kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu,
huwa
najitahidi kuepuka udhaifu, ili
mapenzi
yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU.
Mchana
mwema
*°·.¸¸.° ♥
°·.¸¸.°*
kazi nzuri kijana big up!!!!!!!!
ReplyDeleteShukrani
Deletekazi nzuri
ReplyDeleteNice One
ReplyDeleteNzuri sana
ReplyDelete